Chris Brown aachia video mpya ya wimbo aliyopewa na Davido “Under The Influence”

BY: Pedesheetv | October 21, 2022



Chris Brown aachia video mpya ya wimbo aliyopewa na Davido “Under The Influence”

Ni Mkali kutokea nchini Marekani, Chrs Brown ambae time hii amechia video mpya ya wimbo uitwao Under The Influence aliyopewa na Mkali waa Nigeria Davido.

 

Ikumbukwe hapo awali wimbo huo uliwahi kusikika kwa mara ya kwanza kwenye album yake iitwayo Indigo aliyoachia Oct 4, 2019 lakini hakuweza kufanya vizuri na hatimae Mwaka huu 2022 kuonekana kusikilizwa na watu wengi Duniani katika platforms mbalimbali.

 

Na inaelezwa kutokana na trending ya wimbo huo hii ndio sababu iliyomfanya mkali huyo kuiachia video hiyo mwaka  2022, unaweza ukabonyeza play kuitazama.

 

 



Explore Other Songs by