Simba Sc & Ihefu FC _Tomorrow
BY: Pedesheetv | November 11, 2022
SIMBA SC & IHEFU
Ikiwa simba ametoka Kudrow zidi ya singida big stars kesho anakutana na ihefu je unatabili itakua mechi ya aina gan ikiwa ihefu ajawai kupata point 3 kwa simba nini unatabili ??