Pedeshee mweusi online digital services
Nakusaidia kukuza account zako za mtandaoni kama *YouTube channel, Facebook page, Instagram, tik tok nk.
(No.1) TUNAONGEZA VIEWS HALALI
Mbali Na Kuwa Na Subscriber Pia Tunauwezo wa Kufanya Video Yako Iwafikie Watu Wengi Zaidi Tena Na Hata Ambao Hawaja Subscribe Channel Yako Ya Youtube.
Hii Ni Miongoni Mwa Njia Ambayo Imewanufaisha Wengi Na Wengi Wanaendelea Kunufaika Nayo, Yaani Ni Hivi Video Yako Itapata Promo Na Kuonekana Na Watumiaji Wa Mtandao Wa Youtube Kutoka Maeneo Mbali Mbali Bila Hata kuitafuta Account Yako Yaani Mtumiaji wa Youtube Akiingia tuu Anakutana Nayo Juu.
( No.2) TUNAONGEZA SUBSCRIBERS
Subscriber Ni Followers Wa Account Yako Ya Youtube Ambao Wao Watakuwa wa Kwanza Kupata ujumbe Kama Wewe Umeweka Video Mpya Kwenye Youtube Yako. Unapokuwa Na Idadi Kubwa Au Namba Kubwa Ya Subscriber Ndipo Video Yako Inapofikiwa Na Watu Wengi Zaidi Ambapo Hii Inapelekea Video Yako Kutazamwa Sana Na Kupata Views Wengi, Ni Ngumu Kupata Views Nyingi Wakat Una Subscriber Wachache.
Ili Uanze Kupata Malipo Kupitia Youtube Channel Yako (Youtube Account) Kigezo Namba Moja Ni Kuwa Na Subscriber Zaidi Ya Elfu Moja Ni Wazi Wamiliki Wa Youtube Wanakuonyesha Ni Kwa Kiasi Gani Subscriber Ni Muhimu
(No.3)WATCHTIME*
Huu Ni Muda Ambao Watazamaji Wa Video Zako Watakuwa Wameangalia Kwa kujumlisha Video Zote Ulizoweka Kwenye Youtube Yako.
Hiki Ni kigezo Namba Mbili Ili Uweze Kupata Pesa Kutoka Youtube, Unatakiwa Kufikisha Masaa Elfu Nne (4000) Ili Uweze Kupata Malipo Na Hapa Ndipo Wengi Wanakwama Kuna Ugumu Mkubwa Kuvuka Hapa Kwani Masaa Haya Yana kawaida Ya Kushuka.
Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane Kupitia Namba Call 0653672490 WhatsApp 0653672490
Normal 0624 674 251
Pedesheetv.com