Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, meneja na mmiliki wa Jahazi Modern Taarab ambaye pia ni mmoja wa wanamuziki waanzilishi wa mtindo wa “modern taarab” Mzee Yussuf anatuburudisha kwa Mchanganyiko mpya wa Ramadan mix Kwenye Mdundo.
Mwezi huu mtukufu uendelee kuleta amani duniani kote.
Tunapoendelea na msimu huu wa Ramadan, tunakuletea MIX mpya ambayo inamshirikisha mwimbaji Mzee Yussuf pamoja a waimbaji wengine wa Qaswida 🕌
Download hapa: https://mdundo.com/song/2470401
Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog