YANGA has finished the first round in a dominant way, remaining at the top of the NBC Premier League, reaching 38 points after beating Namungo 2-0.
USHINDI wa 2-0 uliopata Yanga dhidi ya Namungo unaifanya timu hiyo ivunje mwiko wa kutopata ushindi katika uwanja wa Majaliwa.
Mabao ya Yanick Bangala dakika ya 40 na Tuisila Kisinda dakika ya 82 yametosha kuipa Yanga ipate ushindi wa kwanza kwenye Ligi Kuu katika uwanja huo.Namungo na Yanga kwenye mechi sita za mwisho za Ligi Kuu zimecheza mechi tatu kwenye uwanja huo na zote zilimalizika kwa sare.
Welcome Back To Our Site And Here, We Have Brand New Song!